Audio & Video

“Kuwa CCM ni imani”- Biteko

on

Mbunge jimbo la Bukombe mkoani Geita (CCM), Doto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilayani Bukombe kutoka Kata za Bulagwa, Igulwa na Katente.Katibu wa Siasa na Uenezi (CCM) mkoani Geita, David Azaria akizungumza kwenye kikao hicho ambapo alisisitiza umoja ndani ya chama na kuondokana na makundi yanayokigawa chamaMwenyekiti wa CCM wilayani Bukombe, Daniel Machongo akizungumza kwenye kikao hicho ambapo aliwataka wajumbe kuendelea kushikamana ili kukiimarisha chamaBaadhi ya wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Kata za Bulagwa, Igulwa na Katente wakiwa kwenye kikao hicho ambapo mbunge Doto Biteko alikuwa akizungumza nao kuimarisha chama.

Tazama BMG Online Tv hapo juu

Recommended for you