Audio & Video

Mbunge Doto Biteko apiga mkutano Mjini Ushirombo

on

Mbunge jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Mashaka Biteko (CCM) jana Julai 31, 2018 amefanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa stendi Mjini Ushirombo na kuzungumzia masuala kadhaa ya maendeleo jimboni humo.

Ungana na BMG Online Tv kwa undani wa habari hii…

Recommended for you