Habari Picha

MDAU AKISHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

on

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

 Sadda Hashim (kulia) wakilishana kipande cha keki na mama yake mzazi Masha wakati alipokuwa akisherehekea siku ya kuzaliwa iliyofanyika Mei 31, 2017 Dar es Salaam. 
Na Ujiji Raha Blog
Masha kulia akinywa kinywaji cha Shampen  mara baada ya kugonganisha glas na famila yake zenye kinywaji hicho Dar es Salaam jana.

Recommended for you