Audio & Video

Tamko rasmi kutoka chama cha soka Misungwi MDFA

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wilayani Misungwi MDFA, Mwl.Ephraim Majinge amepiga marufuku ligi za mchangani maarufu kama Ndondo Cup zisizo na vibali.

Mwl.Majinge alitoa tamko rasmi juzi kwenye mkutano mkuu wa MDFA uliofanyika Mjini Misungwi.

Tazama BMG Online TV hapa chini

PIA SOMA Marufuku vilabu visivyo na usajili kushiriki ligi daraja la nne

Recommended for you