Audio & Video

Marufuku vilabu visivyo na usajili kushiriki ligi daraja la nne

on

Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza MDFA jana kimefanya mkutano mkuu wa mwaka 2018 ambapo pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa chama hicho Mw.Ephraim Majinge amepiga marufuku vilabu visivyo na usajili kushiriki ligi daraja la nne inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Mwenyekiti wa Chama cha Soka Misungwi, Mwl.Ephraim Majinge

PIA SOMA Chama cha soka Misungwi chafanya mkutano mkuu 2018

Recommended for you