Audio & Video

MIAKA 10 YA WAHANGA WA FIDIA GEITA KUISHI KWENYE MAHEMA

on

Mkoa wa Geita ni maarufu kwa kujaaliwa neema ya madini ya dhahabu. Hata hivyo licha ya umuhimu wa neema hiyo kwa ajili ya maendeleo ya mkoa huo, bado kuna kumbukumbu mbaya kwa baadhi ya wananchi ambao maeneo yao yalichukuliwa na mwekezaji na hivyo kuibua mvutano wa fidia uliosababisha waishi kwenye mahema kwa muda wa miaka 10.

TAZAMA MAKALA FUPI HAPO CHINI

Mama akiosha vyombo nje ya makazi yake ya mahema Mjini Geita

Mama akifanya usafi nje ya makazi yake Mjini Geita

Mama akiwa ameketi nje ya makazi yake ya mahema Mjini Geita

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you