Audio & Video

Michano (Free Style) kutoka Ukuryani Tarime

on

Tarime kuna mambo mengi mazuri ingawa hayatangazwi hivyo BMG Habari #PamojaDaima tunakuletea mfululizo wa mambo hayo ikiwemo burudani ya asili ambayo vijana wa kisasa kutoka ughaibuni huita #FreeStyle huku vijana wa Kiswahili wakiita Mitindo Huru ama #Michano.

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima kusoma zaidi.

Recommended for you