Audio & Video

Hii ndiyo miradi kabambe ya maendeleo wilayani Sengerema

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Magesa Mafuru amezungumzia miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na halmashauri hiyo ambayo ni tegemeo kwa wananchi.

Mafuru ametoa ufafanuzi wa miradi hiyo jana Mei 29, 2018 baada ya kamati ya tendaji ya Jumuiya Serikali za Mitaa ALAT tawi la Mwanza kufanya ziara ya kukagua miradi hiyo na kufurahishwa na utekelezaji wake.

ISOME PIA HABARI HII Jumuiya ya ALAT Mwanza yavutiwa na miradi ya maendeleo wilayani Sengerema

Recommended for you