Audio & Video

Mradi wa maji Chamabanda wilayani Sengerema kutatua kero kwa wananchi

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza inatekeleza miradi mbalimbali ya maji ikiwemo mradi wa Chamabanda-Nyanta Kubwa unaogharimu zaidi ya shilingi Milioni 400.

Wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanzania ALAT tawi la Mkoa wa Mwanza wametembelea mradi huo ili kujionea utekelezaji wake ambapo mradi unatarajiwa kukamilika mwezi huu na kuwahudumia zaidi ya wakazi 8,000 wa Vijiji vya Chamabanda, Nyanta Kubwa na Kasungamile.

SOMA Miradi ya maendeleo wilayani Sengerema

Recommended for you