Audio & Video

MISUNGWI: Mkuu wa shule mbaroni kwa tuhuma za kumtongoza mwanafunzi

on

Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari Misasi wilayani Misungwi, Mwl. Deusdedit Damas jana Oktoba 05, 2018 ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumtongoza mwanafunzi wa kike anayesoma kidato cha pili shuleni hapo.

Recommended for you