Audio & Video

Mkurugenzi Magu ahimiza wadau kuchangia Sekta ya Elimu

on

Mkurugenzi Mtendaji katika Halmashauri ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza amewahimiza wadau wa elimu kuendelea kuchangia sekta ya elimu wilayani humo ili kuondokana na changamoto zilizopo ikiwemo uhaba wa vyumba vya madarasa kutokana na ongezeko la wanafunzo kufuatia sera ya serikali ya elimu bure.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you