Audio & Video

Mkurugenzi MOIL aeleza manufaa ya ujenzi wa meli mpya Ziwa Victoria

on

Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya MOIL, Altaf Mansoor amezungumzia manufaa ya ujenzi wa meli mpya ya abiria na mizigo katika Ziwa Victoria pamoja na ukarabati wa meli za MV. Bukoba na MV. Butiama.

Utilianaji saini wa mikataba ya ujenzi na matengenezo ya meli hizo umeshuhudiwa na viongozi na wananchi mbalimbali wakiongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Mbunge jimbo la Ilemela ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akitoa salamu zake kwenye hafla hiyo
Dua kutoka kwa viongozi wa dini
Tazama BMG Online Tv hapa chini

Recommended for you