Audio & Video

Mkutano Mkubwa wa Injili “OYES 2018” Kanisa la EAGT Lumala Mpya Mwanza

on

“Tutakuwa na Mkutano Mkubwa wa Injili wa OYES (Open Your Eyes and See) mwezi huu wa pili (Februari 14-18, 2018) katika viunga vya kanisa la kimataifa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza.
Ugeni mkubwa wa wahubiri kutoka Canada utawasili Jijini Mwanza ijumaa wiki hii. Huu mkutano si wa kukosa na tayari tumeanza maandalizi kwa kuweka mazingira safi tukiwa na mtumishi wa Mungu Daniel Moses Kulola”-George Binagi-GB Pazzo, Idara ya Habari, Kanisa la EAGT Lulama Mpya.

Usikose mkutano huu, njoo ukutane na nguvu ya Mungu.

Mchungaji Dr.Daniel Kulola na washirika wengine wakishiriki zoezi la usafi kanisani hapo.

Recommended for you