Audio & Video

Mkutano wa ALAT Taifa watamatika Jijini Dodoma

on

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb), akifunga Mkutano wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT), jana Septemba 28, 2018 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jaffo, akitoa salam za Wizara muda mfupi kabla ya kutamatika kwa mkutano wa 34 wa ALAT.

Mwakilishi wa TFDA (kulia), akipokea cheti kutoka kwa Mgeni Rasmi Mhe. Job Ndugai kufuatia ushiriki wa mamlaka hiyo uliowezesha mkutano wa 34 ALAT jijini Dodoma mwaka huu. Picha na Atley Kuni- OR TAMISEMI SOMA>>>ALAT Mwanza yachangia miradi ya elimu, yaitunuku Magu cheti cha pongezi 

 

Recommended for you