Audio & Video

Mkuu wa Wilaya alilia Amani kwenye Uzinduzi wa Nyimbo za Injili

on

Agosti 20,2017 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtatu alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ya Injili ya mwimbaji Elineema Babu ambapo aliongea mambo mazito sana kuhusiana na suala la amani nchini.

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima kutazama picha

Recommended for you