Audio & Video

Mkuu wa Mkoa Mwanza azungumza na bodi mpya ya Nyanza

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Jana Mei 10, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella alikutana na uongozi mpya wa bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (NCU), na kutoa maelekezo kadhaa kwa uongozi huo kuhakikisha unafanya kazi kwa juhudi ili kufufua ushirika.

Itakumbukwa kwamba bodi hiyo iliingia madarakani kufuatia uchaguzi uliofanyika katika mkutano mkuu wa chama cha NCU Machi 19, 2018 Jijini Mwanza.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akizungumza kwenye Mkutano wa Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza uliofanyika Machi 19, 2018 Jijini Mwanza. 

Bonyeza BMG Mkutano Mkuu wa NCU 2018

Recommended for you