Audio & Video

Wadau Steven Alex na Donatira Wamagero wafunga pingu za maisha Jijini Mwanza

on

Ni hafla ya harusi ya Mr & Mrs Steven Alex iliyofanyika usiku wa hii leo jumamosi Februari 10,2018 Gold Crest Hotel Jijini Mwanza baada ya kufunga ndoa katika kanisa la RC Roleto Nyakato. Mshereheshaji ni Faza Katumba kwenye Mic…0786 50 98 98

Bwana harusi Steven Alex pamoja na bibi harusi Donatira Wamagero.

Recommended for you