Audio & Video

Shuhudia Miss Mwanza 2018 akitanganzwa

on

Shindano la kumsaka mrembo wa shindano la “Miss Mwanza 2018” limefikia tamati kwa mrembo Sharon Headlom kuibuka kidedea baada ya kuwabwaga wenzake 13.

Shindano hilo lililoandaliwa na kampuni ya Mepal Management limefanyika usiku wa kuamkia leo Julai 07, 2018 katika viunga vya Rock City Mall.

Miss Mwanza 2018, Sharon Headlom

Miss Talent 2018 Mwanza

Jopo la Majaji Miss Mwanza 2018

PIA SOMA Msanii Nandy alivyong’ang’aniwa kwenye jukwaa la Miss Mwanza 2018

Recommended for you