Habari Picha

Mapokezi ya Rais Mstaafu Benjamini Mkapa Jijini Mwanza

on

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella (kulia), akisalimiana na Rais Mstaafu awamu ya tatu Mhe.Benjamin Mkapa (kushoto), baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza.

Mhe.Mkapa ambaye pia ameambatana na mkewe Mama Anna Mkapa amewasili Jijini Mwanza, akiwa njiani kuelekea Bariadi mkoani Simiyu kwenye kilele cha Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Nyakabindi. Picha na Mood, TZA

Recommended for you