Audio & Video

Msukuma amuomba Waziri Mkuu akainyooshe Geita

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku “King Msukuma” akizungumza kwenye kilele cha Maonesho ya Teknolojia ya Uzalishaji Dhahabu kwa Maendeleo ya Kijamii na Uchumi wa Viwanda mkoani Geita.

Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Maonesho hayo yalianza Septemba 24, 2018 na kufungwa rasmi jana Septemba 30, 2018 ingawa Mhe. Majaliwa alitoa ridhaa ya kuendelea hadi kesho kutwa jumatano.

SOMA>>>“Tumeanza kuona tija kwenye sekta ya madini”- Waziri Mkuu Majaliwa

Recommended for you