Audio & Video

MUBASHARA KUTOKA IKULU, RAIS ANAPOKEA RIPOTI ZA MADINI YA ALMASI NA TANZANITE

on

BMG Habari, Pamoja Daima!

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar e s salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli anapokea ripoti ya Kamati ya uchunguzi wa biashara za madini ya Almasi na Tanzanite kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe.Kasim Majaliwa.

Mhe.Majaliwa alipokea ripoti hizo jana bungeni Mjini Dodoma kutoka kwa Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai ambaye naye alipokea ripoti hizo kutoka kwa kamati alizoziunda, mosi ile iliyoongozwa na Mhe.Dotto Biteko kuchunguza madini ya Tanzanite na ile iliyoongozwa na Mussa Zungu aliyeongoza kamati iliyochunguza madini ya Almasi.

Video na Global Tv Onlive

 

Recommended for you