Audio & Video

Muhubiri afunguka kwenye Maombi ya kuombea Taifa Jijini Mwanza

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Ni katika Maombi ya kuombea mkoa wa Mwanza na Taifa kwa ujumla yaliyoandaliwa na Kituo cha Maombi, Ushauri na Neno la Mungu kilichopo Iloganzara Pasiansi Jijini Mwanza.

Kituo cha Maombi, Ushauri na Neno la Mungu huendesha ibada zake kwa watu wa dini zote kila jumapili kuanzia saa tisa mchana, eneo ni Iloganzara Pasiansi Jijini Mwanza.

Mwimbaji wa nyimbo za injili Moses Butoi akitumbuiza kwenye ibada hiyo.

Bonyeza HAPA kwa taarifa zaidi.

Recommended for you