Audio & Video

Mwaka mmoja baada ya Lisu kushambuliwa, Msukuma amezungumza

on

Tundu Lisu ambaye ni mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki (Chadema) alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 07, 2017 Mjini Dodoma. Mwaka mmoja leo mbunge Joseph Kasheku Msukuma (CCM) amezungumza.

Recommended for you