Audio & Video

Kifahamu kiwanda kipya cha “Mwanza Pure Drinking Water”

on

Mwanza Pure Drinking Water ni maji bora ya kunywa yanayozalishwa kutoka Jijini Mwanza na kiwanda cha kampuni ya kizalendo ya Fide Investments Company Limited.

BMG Habari #PamojaDaima imekaribishwa kiwandani hapo, fuatilia alichozungumza na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mauzo.

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima kwa habari zaidi.

Recommended for you