Audio & Video

Mwekezaji Simanjiro atakiwa kutoa mikataba kwa wafanyakazi

on

Naibu Waziri wa Madini Mwl. Doto Mashaka Biteko amemtaka Bw. Raphael Mollel ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Alex Shayo & Partners inayochimbaji madini ya Rubi katika Kijiji cha Kitwai A wilayani Simanjiro, kuingia kuingia makubaliano/ mikataba na wachimbaji ili kila upande unufaike na madini hayo.

Mkuu wa wilaya Simanjiro, Mhe. Zephania Chaula akizungumza wakti wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Madini Mwl. Doto Biteko na wachimbaji wa madini ya Rubi katika Kijiji cha Kitwai A. SOMA>>>Serikali yatakiwa kutoa haki sawa kwa wachimbaji madini na wafugaji

Recommended for you