Audio & Video

UFAFANUZI: Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Mwanza

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania ALAT tawi la mkoa wa Mwanza ambaye pia ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Magu, Hilal Elisha amezungumzia ziara ya kamati tendaji ya jumuiya hiyo wilayani Sengerema.

ISOME PIA HABARI HII Hii ndiyo miradi kabambe ya maendeleo wilayani Sengerema

Recommended for you