Audio & Video

Msanii Nandy alivyong’ang’aniwa kwenye jukwaa la Miss Mwanza 2018

on

Msanii Nandy amedondosha burudani kali kwenye jukwaa la kumsaka mlimbwende wa mkoa wa Mwanza (Miss Mwanza 2018) lililofanyika jana kuamkia leo Julai 07, 2018 katika viunga vya Rock City Mall kiasi cha mashabiki zake kumzuia asishuke jukwaani.

Shindano hilo limeandaliwa na kampuni ya Mepal Management ambapo washiriki 14 wamechuana vikali. Endelea kuitazama BMG Online TV ili kumjua mshindi wa taji la Miss Mwanza 2018.

Washiriki Miss Mwanza 2018

Tazama BMG Online TV hapa chini

PIA SOMA Maandalizi Miss Mwanza 2018 yakamilika

Recommended for you