Audio & Video

Ulinzi kuimarishwa Jijini Mwanza kwa kamera za kisasa

on

Uongozi wa kampuni mpya ya ulinzi ya “Power Shield Security Services Ltd” iliyozinduliwa jana Jijini Mwanza, umeahidi kuimarisha hali ya ulinzi na usalama kwa kutumia askari wake wenye weledi wa hali ya juu pamoja na vifaa vya kisasa ikiwemo kamera.

PIA SOMA Mkuu wa Mkoa Mwanza azindua kampuni ya ulinzi “Power Shield Security Services Ltd”

Recommended for you