Audio & Video

Fuatilia Mubashara ibada ya mazishi ya Winnie Mandela kutoka Afrika Kusini

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Fuatilia Mubashara ibada ya mazishi ya Mama Winnie Madikizela Mandela ambaye alikuwa mke wa zamani wa Nelson Mandela kutoka Afrika Kusini.

Mama Mandela alizaliwa Oktoba 26, 1936 na atakumbukwa kwa juhudi zake za kupigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini ambapo alifariki April 02 mwaka huu akiwa na miaka 81.

Chanzo: SABC News

Recommended for you