Habari Picha

Rais Magufuli akutana na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2018

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea taarifa kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama walioongozana na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2018 alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 15, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2018 alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. Picha na Ikulu 

SOMA>>>Miradi ya mabilioni kupitiwa na Mwenge wa Uhuru mkoani Mwanza

 

Recommended for you