Audio & Video

Ratiba na shughuli atakazofanya Rais Magufu mkoani Mwanza

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli (pichani) anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Mwanza jumatatu Septemba 03- 04, 2018.

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella (pichani) amezungumza na wanahabari na kuweka wazi ratiba ya ziara hiyo pamoja na shughuli atakazofanya Mhe. Rais Magufuli.

Bonyeza PLAY kutazama BMG Online Tv

Recommended for you