Audio & Video

Jambo muhimu alilozungumza RC Mwanza na Mkuu wa JKT Taifa

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella leo jumatatu Juni 11, 2018 amekutana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa nchini JKT, Meja Jenerali Martin Busungu na kufanya mazungumzo mafupi.

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella (kushoto), akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa nchini JKT, Meja Jenerali Martin Busungu , ofisini kwake mapema leo asubuhi

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa nchini JKT, Meja Jenerali Martin Busungu (kulia), Mwongozo wa Uwekezaji mkoani Mwanza.

SOMA Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ualibino Duniani 2018

Recommended for you