Audio & Video

Sababu hizi zikufanye umpeleke mwanao Shule za Eden Jijini Mwanza

on

Shule za Eden ni za kutwa na bweni zikijumuisha shule ya Awali, Msingi na Sekondari zilizopo Jijini Mwanza.

Katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu, wanafunzi wote wa Eden wamefaulu mtihani wao kwa kiwango cha juu na kuwa miongoni mwa shule tatu bora mkoani Mwanza zilizofanya vizuri.

Recommended for you