Habari Picha

SALAM ZA EID EL HAJJ 2017

on

BMG Habari, Pamoja Daima!

Leo Ijumaa Septemba Mosi,2017 BMG inawatakia Waislamu wote ndani na nje ya Tanzania Siku Kuu Njema ya Eid El Hajj ambayo husherehekewa na Waislamu wote duniani kwa kuchinja mnyama kama ishara ya kuheshimi kitendo alichokifanya Nabii Ibrahim.

Kitaifa swala hiyo imefanyika katika Msikiti wa Masjid Taqwa Ilala Jijini Dar es salaam ambapo Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amewahusia Waislamu wote kusherehekea Siku Kuu hiyo kwa Amani na Upendo huku akikemea wale wote wanaoutumia uislamu kutenda maovu akisema uislamu si ugaigi.

Recommended for you