Habari Picha

SALAMU ZA KUZALIWA KWA MWANAHABARI NA MPIGA PICHA WA GAZETI LA MTANZANIA MKOANI MWANZA.

on

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Julai 17 miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa mwanahabari na mpiga picha wa gazeti la Mtanzania, Lordrick Ngowi a.k.a Papaa Lordrick SmartBoy (kushoto), akiwakilisha mkoani Mwanza. Ni tarehe yenye historia kubwa kwake kwa sababu pia ndiyo tarehe aliyozaliwa baba yake mzazi (kulia).
“Katika miaka kadhaa na mingi iliyopita, tulizaliwa mimi na Mzee Ngowi. Ahsante Mungu Kwa kuendelea kutulinda. Naomba utujalie miaka mingi yenye Neema na Nafaka tele. Happy Birthday to me & my Dady”. Ameandia Papaa kwenye ukurasa wake wa Facebook.
BMG inawatakia kila la Kheri wale wote waliozaliwa tarehe kama ya leo.

Recommended for you