Audio & Video

Salamu za Mwaka Mpya kutoka Tarime

on

Sikukuu ya Mwaka Mpya 2018 imepokelewa kwa shangwe na furaha katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwe Tarime mkoani Mara.

Ungana na BMG Habari #PamojaDaima kupata salamu za mwaka mpya, usisite kushiriki salamu hizo kwa kuweka Comment yako hapo chini ikiambatana na hashtag yetu ya #Tunaweza2018

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima Mkesha wa Mwaka Mpya!

Recommended for you