Audio & Video

Salamu za RC Mwanza kwenye kilele cha Ufunuo wa Matumaini

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella jana alimwakilisha Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa kwenye kilele cha mkutano wa injili wa Ufunuo wa Matumaini ulioandaliwa na kanisa la Waadventista Wasabato Kanda ya Nyanza Kusini.

Baada ya kusoma hotuba ya Mhe.Majaliwa (TAZAMA HAPA) Mhe.Mongella pia alitoa salamu zake kwenye mkutano huo.

SOMA Waziri Mkuu awahimiza Wasabato kuendelea kushirikiana na serikali

Recommended for you