Audio & Video

Salamu za Sikukuu ya Krismasi 2017 kutoka Jijini Mwanza

on

Ni jumatatu Disemba 25,2017 ambapo Wakristo kote duniani wanaungana pamoja kusherekea Sikukuu ya Krismasi ambayo ni kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita.

Ungana na BMG Habari kutoka kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza kupata salamu za Krismasi na mwaka mpya 2018.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you