Audio & Video

Salamu za Wakazi wa Jiji la Mwanza kwa Rais Magufuli

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza Jijini Mwanza alipofanya ziara yake ya kikazi yua siku mbili (Oktoba 30-31, 2017) ambapo baadhi ya wananchi walimlaki kwa jumbe mbalimbali, kama zilivyonaswa na BMG.

Recommended for you