Audio & Video

Hoja za haja kuhusu sekta ya elimu mkoani Mwanza

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mei 14, 2018 viongozi wa sekta ya elimu mkoani Mwanza wakiwemo waalimu wakuu, maafisa elimu kata, wilaya, ofisi ya mkuu wa mkoa pamoja na wadhibiti ubora walikutana Jijini Mwanza kuwekeana mikakati ya kuboresha sekta hiyo.

Akifungua kikao hicho, Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongela alisema pamoja na mikakati mingine, suala la kuanza kutoa chakula cha mchana kwa wanafunzi lazimwa litiliwe mkazo zaidi. (ISOME HAPA habari hiyo.) Mbali na hayo, tazama hapa chini baadhi ya hoja zilizonaswa na camera ya BMG.

Recommended for you