Audio & Video

Serikali yatakiwa kutoa haki sawa kwa wachimbaji madini na wafugaji

on

Wakazi wa Kijiji cha Kitwai A wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wameiomba serikali kuangalia namna ya kugawa maeneo ya uchimbaji madini pamoja na wafugaji ili pande zote mbili zifanye shughuli bila kuingiliana.

Wameyasema hayo baada ya Naibu Waziri wa Madini Mwl. Doto Mashaka Biteko kufanya ziara katika machimbo ya Kitwai A yanapochimbwa madini ya vito mbalimbali ikiwemo Rubi.

SOMA>>>Wachimbaji madini Simanjiro watakiwa kuwa watulivu

Recommended for you