Audio & Video

Seya ndani ya Tigo Fiesta 2017 Mjini Dodoma

on

Jumamosi Novemba 03,2017 wakazi wa Mji wa Dodoma wanapata wasaa mzuri wa kufurahia burudani ya Tigo Fiesta 2017 ambapo wasanii kibao walidondosha burudani kali huku wimbo wa Seya ukionekana kuwagusa wengi.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you