Habari Picha

Shamba nzuri linauzwa kwa gharama nafuu

on

Mmiliki wa shamba hilo, akiwa amekanyaga bicon za mipaka ya shamba hilo.
Na Dotto Mwaibale
Mmiliki wa shamba hilo akionesha bicon zilizopo katika shamba hilo.

Shamba linauzwa lipo wilayani Mkuranga mkoani Pwani kijiji cha Kibuyuni lipo jirani kabisa na shule ya sekondary ya Panzuo. Nauli ya kwenda katika shamba hilo kwa daladala ni shilingi, 3,000.

Umbali kutoka Kariakoo kwenda katika shamba hilo ni kilomita 60 na bei kwa kila hekari ni Tsh.2,999,999 kwa mawasiliano zaidi piga namba hizo hapo za zain namba 0687347676

Recommended for you