Audio & Video

Shirika la Railway Children Africa lawakumbuka vijana waliouawa kikatili Jijini Mwanza

on

Kati ya vijana wanne waliouawa, watatu walikuwa wakifanya kazi na shirika la Railway Children Africa kupitia kikundi chao cha Ukombozi.

Ungana na BMG Habari #PamojaDaima kwa undani wa habari hii…

Abdallah Issa ambaye ni Meneja Mradi wa Kivuko kutoka shirika la Railway Children Africa akizungumza kwenye ibada hiyo iliyofanyika jana Isamilo Jijini Mwanza, zilipo ofisi za shirika hilo. Kushoto ni Mchungaji Lameck Saanane kutoka kanisa la AIC African lililopo Nyamanoro Ilemela Jijini Mwanza.

Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la kuhudumia watoto na vijana wanaoishi Mtaani la Railwa Children Africa wakiwa kwenye ibada hiyo. Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima ama HAPA habari zilizopita.

Recommended for you