Audio & Video

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake mkoani Mwanza yafana

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Shirika la Kutetea Haki za Wasichana na Wanawake KIVULINI, chini ya Mkurugenzi wake Yassin Ally limeratibu vyema Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, ngazi ya mkoa wa Mwanza.

Maadhimisho hayo kimkoa yamefanyika katika Kijiji cha Koromije wilayani Misungwi na kuhudhuriwa na mamia ya wananchi, viongozi wa serikali pamoja na taasisi mbalimbali.

Mgeni rasmi alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Constansia Gabusa. Machi 08 kila mwaka ni maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani. 

Tazama HAPA hoja za Wanamabadiliko mkoani Mwanza

Recommended for you