Audio & Video

Maswali aliyoulizwa mbunge wa Nyamagana na Mwandishi kutoka German

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Juni 13 ya kila mwaka huwa ni Siku ya Watu wenye Ualibino Duniani ambapo katika kuadhimisha siku hiyo mwaka huu, mbunge wa jimbo la Nyamagana (CCM) Stanslaus Mabula ameulizwa maswali mawili na mwanahabari Ramona Seitz kutoka nchini Ujerumani (German).

Kwanza ameulizwa, hali ikoje nchini kuhusu watu wenye ualibino kati ya mwaka huu 2018 na miaka 10 iliyopita na je anazungumziaje watoto wenye ualibino kuishi kwenye vituo maalum kama Mitindo wilayani Misungwi badala ya kuishi na familia zao.

Kushoto ni mbunge wa jimbo la Nyamagana (CCM) Stanslaus Mabula akizungumza na mwanahabari Ramona Seitz kutoka www.ramonaseitz.com wa Ujerumani (kulia) alipokuwa Jijini Mwanza

SOMA Maadhimisho ya Watu wenye Ualibino Mwanza

Recommended for you