Michezo

Safisha macho na soka la mchangani

on

Na George Binagi-GB Pazzo @BMG

Hakika wadau wa soka watakubaliana na BMG kwamba vipaji vingi huwa vinapatikana katika ligi za mchangani kuanzia ngazi za Vitongoji, Vijiji, Mitaa na Kata kama ambavyo picha hizi zimenaswa katika wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.

Watoto wanasakata soka balaa licha ya kukabiliwa na ukosefu wa vifaa bora vya michezo ikiwemo mipira, jezi na viatu. Wanastahili kujengewa msingi bora wa soka kwa manufaa ya baadae kwa taifa Tanzania.

Recommended for you