Audio & Video

Taarifa kutoka kwa Mratibu wa Wazee Manispaa ya Ilemela

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Ni kwenye uzinduzi wa Baraza la Wazee Kata ya Mecco Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, uliokwenda sanjari na ugawaji wa vitambulisho vya msamaha wa matibabu kwa wazee wa Kata hiyo.

Tazama HAPA habari zaidi.

Recommended for you