Audio & Video

“Mikoa yenye changamoto ya Ukatili na Mimba kwa Wanafunzi”- KIVULINI

on

BMG Habari, Pamoja Daima

Shirika la Kutetea Haki za Wasichana na Wanawake KIVULINI lenye makazi yake limebainisha baadhi ya mikoa yenye kiwango kikubwa cha vitendo vya ukatili pamoja na mimba kwa wanafunzi.

Mkurugenzi wa shirika hilo Yassin Ally ameitaja mikoa hiyo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika kimkoa katika Kijiji cha Koromije Misungwi mkoani Mwanza, Machi 08,2018.

Mgeni rasmi, Constansia Gabusa ambaye ni Mkurugenzi Msaidi Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akizungumza kwenye madhimisho hayo.

Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally akizungumza kwenye maadhimisho hayo.

Recommended for you