Audio & Video

Tamasha la “Samaki Carnival 2017” lafana Jijini Mwanza

on

Wakazi wa Jiji la Mwanza wameupokea vyema msimu wa tano wa tamasha la “Samaki Carnival 2017”, linalofanyika katika viunga vya Rock Beach Garden kwa siku mbili kuanzia jana.

Baraka Nyororo, CEO Fine Touch Media.

BMG Habari, Pamoja Daima!

 

Recommended for you